Rais mpya wa NHK, Inoue Tatsuhiko, amesema atafanya kazi ili kuimarisha kimsingi uwezo wa kutengeneza na kuwasilisha maudhui ...
Tovuti ya habari za kisiasa ya Marekani Politico imeripoti kwamba utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump unafikiria kuzuia kabisa uagizaji wa mafuta kwenda Cuba.
Familia nyingi nchini Tanzania bado zinahangaika kutafuta miili ya wapendwa wao waliopotea wakati wa machafuko ya wakati na ...
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imepokea Sh bilioni 10.5 kwa ajili ya kutoa mikopo ya ...
Rais Donald Trump amesema waziwazi kwamba amepeleka meli za kivita kuelekea Iran kwaajili ya kujiweka tayari kuishambulia ...
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kutoa huduma za kibingwa bobezi katika kambi maalum ya matibabu ya siku nne ya ...
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameondoka nchini leo Januari 16, 2026 kwenda Morocco tayari kwa ...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi wa kitaalamu wa mita za umeme kwa baadhi ya wateja waliowasilisha malalamiko hayo kwa njia za mitandao katika maeneo ya Tabata Kimanga na Kimara S ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kukamata vijana waporaji (Vishandu) wakiwa na simu za mkononi aina mbalimbali zipatazo 60 katika juhudi za kudhibiti wimbi la uporaji wa simu ambalo limekuwa ...
Nchini Uganda, kuelekea uchaguzi mkuu, kumeripotiwa matukio ya wanahabari kushambuliwa na vyombo vya usalama wakati wakiripoti kampeni za uchaguzi na hasa za upinzani. Matukio kama haya ...