Maumivu ni moja kati ya dalili muhimu sana inayoashiria tatizo ndani ya mwili. Kwa kawaida, maumivu hutengenezwa na mfumo wa fahamu wa mwili kutokana na sababu mbalimbali kama vile kuungua, kuchanika, ...