Karne nyingi zilizopita ilijulikana kama lugha ya "giza"; leo hii imekuwa inazungumzwa zaidi katika bara ambalo linakua zaidi kidemografia. Kiswahili -pia huitwa Swahili-, ni lugha ya Kiafrika ambayo ...
Bazara la mawaziri katika maamuzi yake limekubali kutekelezwa kwa mapendekezo ya azimio la 21 wa viongozi wa Jumuiya ya Africa mshariki, yalioidhinisha matumizi ya lugha ya kiswahili kutumika kanda ...
Christine Ro mwanafunzi mmoja anamsimulia rafiki yake rai wa Argentina kwamba amekua akitumia programu ya ChatGPT ya akili bandia kufanya mazoezi ya ligha ili kuweza kufahamu vizuri Kihispania, na ...
Julai saba kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya Kiswahili katika kutambua mchango wa lugha hiyo adhim katika kukuza utofauti wa kitamaduni, kujenga ufahamu na kukuza mjadala miongoni mwa jamii.
Iwapo wapo sokoni, barabarani hata katika maeneo ya usafiri wa umaa wakaazi wanatumia kiswahili cha Lushi yaani cha jiji la Lubumbashi ambacho ni mchanga'nyiko wa maneno ya kiswahili na kifaransa.
Afrika Kusini ni taifa lenye historia tata na yenye rangi nyingi za kitamaduni. Hili ndilo taifa pekee duniani ambalo katiba yake inazitambua rasmi lugha 11 kama lugha rasmi za taifa. Profesa Thandiwe ...