Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na rais wa Shirikisho la Mpira wa ...
MAAFANDE wa KVZ ya visiwani hapa imebeba ubingwa wa Ligi ya Muungano kwa mchezo wa netiboli, huku Waziri wa Nchi Ofisi ya ...
Tanzania na Uganda zimeanza vibaya michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika- AFCON 2025 kwa kukubali kichapo kwenye mechi zao za ufunguzi zilizichezwa jana. Taifa ya Stars ya Tanzania ilishindwa ...
Michezo ya ufunguzi ya AFCON 2025 nchini Morocco imeanza kwa picha halisi ya ushindani wa soka la Afrika. Tanzania ilifungwa mabao 2-1 na Nigeria, Uganda ikapoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tunisia ...
Wawakilishi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika - AFCON 2025, wanatupa karata zao za kwanza uwanjani leo Jumanne. Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ...
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Sudan kusherehekea kambi ya kwanza kabisa ya ndondi ya wanawake nchini humo, Nairobi itakuwa mwenyeji wa michuano ya kufuzu ligi ya afrika ya basketboli mwezi huu, ...
ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Hamad Hassan Chande amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushiri ...
Licha ya Tanzania, kupambana kiume uwanjani, bao la mshambuliaji Brahim Diaz, katika dakika ya 64, lilitosha kuipeleka Morocco, katika hatua ya robo fainali na sasa itamenyana na Cameroon Januari 09.
Mandhari ya michezo ulimwenguni inabadilika kwa njia ya ajabu kupitia wanariadha wenye vipaji na wenye ushawishi mkubwa. 2026, hafla kuu za michezo kama vile Kombe la Dunia la FIFA na Olimpiki ya ...