Mitindo ya nywele ya kusuka kwa kuongezea nywele zingine bandia ama asili ni maarufu sana kwa wanawake weusi, ikiendelea kupendwa na watu mashuhuri na akina mama wa ukoo. Lakini sasa, maswali ...
Nchini Ivory Coast vuguvugu jipya linakuwa. Linabadilisha urembo wa kitamaduni kwa aina yake. Wanawake wapigia debe mitindo ya nywele za asilia na wangelipenda kuwa kielelezo chema kwa bara zima.
Jijini Dar es Salaam, kumeibuka hamasa kubwa ya usukaji, usokotaji na unyoaji wa mitindo mipya ya nywele kwa vijana wa kiume jambo linalo pelekea ajira miongoni mwao.