Khadija Mwanamboka, alianza na ndoto ya kipekee ya kutaka kuwa tofauti. Tangu akiwa mtoto, alijua hakutaka kuvaa nguo alizonunuliwa dukani, alitaka kubuni mavazi yake mwenyewe. Kila alipoandamana na ...