Ajira ambazo zitahitajika zaidi katika siku zijazo huenda tayari zimebainika. Licha ya hofu kwamba kukua kwa kiteknolojia kutamaliza sehemu kubwa ya kazi, wataalam wanakadiria kasi kubwa ya kuibuka ...
Maendeleo ya kiteknolojia yamesaidia sekta tofauti kupiga hatua, kwa mfano mwelekeo wa utibabu nchini Ujerumani utakuwa ni wa kidijitali zaidi katika siku za mbele. Kazi kubwa itafanywa na kompyuta na ...