Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nchini Tanzania imeendelea kuthibitisha ukubwa wake, safari hii ikichezwa katika mazingira ya kipekee, kwenye uwanja wa kambini ama jeshini, Meja Jenerali ...
Yanga ndiyo kinara kwa kupata ushindi mara nyingi zaidi ya Simba tangu kuanza kwa Ligi ya soka Tanzania bara JUMAMOSI ya Septemba 26 moto utawaka uwanja wa taifa Dar es Salaam wakati miamba ya soka ...