Mabadiliko ya Sanaa ya uimbaji yamewafikia waimbaji wa nyimbo za Injili, sasa wanafanya Sanaa hiyo kwa kuendana na hali ya mabadiliko ya kiteknolojia kwenye sanaa ya muziki wa kisasa. Ungana na Steven ...
Anastasia Mukabwa, msanii kutoka Kenya ni jina tajika katika nchi za kanda ya Afrika Mashariki na Kati, lakini kile ambacho wengi hawakifahamu ni kuwa msanii huyu alilelewa katika maisha ya dhiki na ...
Muziki wa injili barani Afrika na duniani kwa ujumla unaendelea kubadilika na kuwa na vionjo vipya tofauti na miaka iliyopita. Waimbaji wengi hutunga tungo zao kwa kuzingatia maisha halisi na hata ...
Katika makala hii mwandishi wetu wa Daresalaam nchini Tanzania Steven Mumbi amejaribu kumdodosa mwanamuziki wa nyimbo za Injili maarufu sana nchini Tanzania Goodluck Gozbert kujieleza kuhusu juhudi za ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results