Oktoba mosi dunia inaungana pamoja kuadhimisha siku ya wazee duniani na kauli mbiu mwaka huu ni usawa wa matumizi ya kidijitali kwa wote. Nia haswa ni kutoa ufahamu kuhusu changamoto wanazopitia wazee ...
Visa vya wazee kuuwawa katika jimbo la Kilifi, pwani ya Kenya si jambo jipya. Aidha katika kipindi cha miaka miwili pekee, zaidi ya wazee 150 wameuwawa kwa madai ya kuwa wachawi, ama washirikina.
Kenya imezindua mpango mpya wa malipo kwa wasiojiweza ambao utawawezesha wazee kupokea takriban dola 25 Kila mwezi kutoka Serikalini. Mpango huo umezinduliwa kwenye kongamano la wiki moja la Mpango wa ...
Kwa mara ya kwanza, toka aingie madarakani mwezi Machi mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan amevaa barakoa hadharani akiwa nchini humo. Chanzo cha picha, Getty Images Mji wa Tanzania uliopo kusini ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results