KILA mara wazazi na walezi wamekuwa wakitupiwa lawama kuwa ni chanzo cha watoto wao kukithiri kwa utoro shuleni, watoto wa mitaani na kujihusisha na vitendo viovu kwa kujiunga katika makundi yasiyofaa ...
VIONGOZI mbalimbali wa dini na wadau wa siasa wametoa tathmini kuhusu kilichojiri katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Novemba 27 mwaka huu. Wamesema licha ya ...
MAISHA yanakwenda kasi sana. Baada ya msimu uliopita kutawala kwa urahisi wa kushangaza, Liverpool ilionekana kuwa tayari ...
Jenerali al-Burhan amekiri siku ya Jumatatu kwamba jeshi "limejiondoa" katia mji wa El-Fasher, ngome yake ya mwisho ...
Wazazi na walezi hapa nchini wametakiwa kuona umuhimu wa kuwasimamia kwa karibu watoto wao wanaosoma katika shule za msingi na sekondari ili waweze kuepukana na tabia mbaya za utoro, uvutaji bangi na ...
Kuna usemi maarufu kuwa unaweza kuchagua marafiki, mwenza na hata maadui lakini si ndugu. Uwatake, usiwatake, ndugu wapo. Ndugu hatuwatengenezi wala kuwatafuta bali kutengenezewa na wazazi wetu. Hivyo ...
MASHINDANO maarufu ya soka la uswahilini yajulikanayo kama Ndondo Cup 2025 yanaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja vya Bandari na Kinesi wilayani Temeke jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yenye ...
Katika miaka ya hivi karibuni, michezo na eSports imependeka zaidi Tanzania. Mashabiki wa michezo mbalimbali ikiwemo eSports wamepata njia ya kupata hela kwa raha zao. Hii inachangia kwa maendeleo ya ...
Maisha ya ndoa huambatana na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa ni uhusiano kati ya mtu na wakwe zake. Wakati mwingine, wakwe huwa baraka kubwa katika maisha ya wanandoa, lakini kuna hali ambapo baadhi ...
Dar es Salaam. Usingedhani kwamba nyumba iliyotumika kwa miaka mitatu, ifanane na iliyodumu kwa muongo mmoja. Huu ndio uhalisia wa nyumba za wakazi 644 wa Magomeni Kota, jijini Dar es Salaam. Si hivyo ...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Sigrada Mligo amekikacha chama hicho na kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), akiukumbuka wema wa Katibu ...
Ni ngumu na kamwe sio rahisi kumbadilisha mtu mwenye tabia ngumu awe rafiki. Mabadiliko haya yanawezekana ikiwa mhusika (mwenye tabia ngumu) atadhamiria na kuwa tayari kushughulika ili kubadilika. Kwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results